Make a deal with Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
🔒 Paid proposals held safely in escrow — released only when the work's approved.
📊 Post performance
🔥 Top post: Hapa bado bukta ya Mashujaa FC tu …….. · 135.3K views
📊 Activity & format
Recent posts
View on X ↗
🔥 Top post
Hapa bado bukta ya Mashujaa FC tu ……..
Nikiongoza, Nifuate
Nikisita, Nisukume
Nikiuwawa, Nilipizie
Nikikusaliti, Niuwe
Aliyefukuza wenye vyeti feki, kachaguliwa kwa Kura feki. Anawashukuru wapiga kura feki waliompa Urais Feki.
Rais aliyepata sifa kubwa kwa kuondoa Wafanyakazi hewa katika utumishj wa Umma Amekubali ‘kuchaguliwa’ kuwa Rais kwa kutumia Kura hewa. Anawashukuru wapiga kura hewa kwa kumchagua huku akijua ushindi wake ni hewa. Ama kweli kua uyaone! Uki…
Watanzania tunapaswa kuamua. Kuamua kati ya kukumbatia UKWELI au UONGO. Kati ya HAKI na UKANDAMIZWAJI. Maamuzi sio kuhusu CCM au Upinzani, la hasha. Ni maamuzi kati ya kuwa na Nchi ya kidemokrasia au ya kidikteta. Ni lazima sasa kuisaka DE…
Kesho Saa Nne asubuhi nikiwa na Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Taifa Maalim @SeifSharifHamad tutaungana na Viongozi Wakuu wa @ChademaTz akiwemo @freemanmbowetz na @TunduALissu kuzungumza na Waandishi wa Habari. Tutakuwa Makao Makuu ya CHADEMA
Ewe Mwanachama, mfuasi na mpenzi wa Chama cha @ACTwazalendo kura ya Urais wa Jamhuri ya Muungano ni kwa Tundu Lissu @TunduALissu . Huu ni wakati wa Mabadiliko. Tusigawe kura zetu wapinzani. Mimi nitampigia kura Tundu Lissu awe Rais wangu
Nimeruhusiwa kutoka hospitali. Nawashukuru madaktari na wauguzi Kituo cha Afya Kalya - Uvinza, Hospitali ya Maweni Kigoma na Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Asanteni sana wote kwa Dua, Sala na maombi yenu. Nataraji kurudi kwenye kampe…
Ninaendelea vizuri. Ilikuwa ajali mbaya sana. Namshukuru Allah kwa kutuponya. Shukran Wahudumu wa Kituo cha Afya Kalya, licha ya changamoto, Huduma ya kwanza imetusaidia. Shukran Madaktari na Wahudumu Hospitali ya Maweni Kigoma. Mimi na we…
Watumishi wa Umma wameanza kupandishwa madaraja tangu wiki iliyopita na pia wanalipwa pesa zao. Nawaambia Watumishi wa Umma kuwa hayo ni matunda ya Kazi yetu wanasiasa wa Upinzani kuwasemea. Nawasihi sana watupigie kura nyingi ili tuunde S…
“KUMTOA MAGUFULI KUNAHITAJI MAAMUZI MAGUMU NA YA KISHUJAA KUTOKA VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI. BILA YA KUUNGANISHA NGUVU HATOKI”
💡 Facts
🕵️ Fake follower check
Estimated- Est. 69% real, active audience · Medium fake-follower risk.
- Low engagement (~4.5% of followers engage each post) — a sign of an inflated or inactive audience.
- Organic base — far more followers than accounts it follows.
- Verified account.
- Established account (16+ years old).
- 0.32% engagement — below the ~10.8% typical for this size.
Heuristic estimate from engagement, follower ratios, account age & growth — a screening signal, not a guarantee.
About
📸 Gallery
🔀 Audience overlap
EstimatedEstimated shared audience with similar creators — useful for avoiding overlap (or doubling down) when planning a campaign.
ONE OK ROCK_official
18%
MAINGEAR
18%
Hasbro
17%
Nancy Lieberman
14%
Chitra Kishor Wagh
12%
Imran Pratapgarhi
11%
More like this
Find more →Frequently asked questions
How much does Zitto MwamiRuyagwa Kabwe charge for a sponsorship?
How do I contact Zitto MwamiRuyagwa Kabwe for a brand deal or collaboration?
How many followers does Zitto MwamiRuyagwa Kabwe have?
✉ Message Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Reaching out to influencers is a Pro feature. Upgrade to message any influencer directly — perfect for brands and agencies booking sponsorships.
- ✓ Message any influencer from their listing
- ✓ The influencer gets notified by email
- ✓ Manage every conversation in one inbox
Already Pro? Log in.
🎤 Event / appearance with Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Booking an event / appearance is a Pro feature. Upgrade to book Zitto MwamiRuyagwa Kabwe for an in-person or virtual appearance — payment held safely in escrow until the event is done.
- ✓ Book them for events, livestreams, panels & more
- ✓ Zitto MwamiRuyagwa Kabwe gets notified by email
- ✓ Fee held in escrow, released after the appearance
Already Pro? Log in.
You're out of free requests this month
Free accounts get 5 per month. Go Pro for unlimited sponsor pitches, collab requests & sponsorship deals — plus featured placement, the Verified badge, free withdrawals and more.
Upgrade to Pro — $9.95/mo →Your free limit resets on the 1st of next month.
Auto-generated from X's public data — no affiliation with or endorsement by SocialDB. Is this you? Claim it · Remove